Watu wawili wafariki huku wengine wakitoroka kwao

  • | Citizen TV
    463 views

    Watu wawili wamefariki na wengine kutoroka kwao kwenye vita vya kijamii eneo la Matigari kaunti ya Laikipia huku nyumba kadhaa zikiteketezwa.