Watu wawili wafariki katika mkasa wa moto katika kijiji cha Gitwe kaunti ya Kiambu

  • | KBC Video
    62 views

    Watu wawili wamefariki katika mkasa wa moto katika kijiji cha Gitwe mjini Githunguri, kaunti ya Kiambu. Kulingana na walioshuhudia mkasa huo, moto huo ulianza mwendo wa saa sita usiku. Dereva aliyekuwa akipita aliona moshi ukifuka kutoka nyumba hiyo na kuoiga honi. Majirani waliitikia kamsa ila hawangeweza kuokoa maisha ya watu hao wawili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #TheGreatKBC #arson

    arson