Watu wawili wafariki kwenye ajali barabarani, Southern Bypass

  • | Citizen TV
    2,655 views

    Watu wawili wamefariki kwenye ajali mbaya katika barabara ya southern bypass. ajali hiyo ilitokea baada ya dereva mmoja wa lori lililokuwa likitoka eneo la Kikuyu alipokosa kulidhibiti lori hilona kuvuka katika upande wa pili wa barabara