Watu wawili wafariki kwenye ajali ya barabarani Sobeo, Salgaa

  • | Citizen TV
    764 views

    Watu wawili walifariki jana usiku kwenye ajali ya barabarani iliyotokea katika eneo la Sobea Salgaa kwenye barabara ya kuelek Kisumu kutoka Nakuru.