Watu wawili wafariki Meru wakipaka rangi jengo moja la ghorofa

  • | Citizen TV
    1,812 views

    Watu wawili walifariki huku mmoja akinusurika mjini Meru baada ya kuanguka walipokuwa wakipaka rangi jengo moja lenye ghorofa sita katika kituo cha biashara cha Makutano.