18 Sep 2025 1:23 pm | Citizen TV 244 views Watu 2 wamepoteza maisha yao huku Wengi 7 wakijeruhiwa kwenye ajali ya barabarani iliyohusisha gari aina ya probox na Lori katika daraja la Nyametembe kaunti ndogo ya kuria Mashariki