Watu wawili wafariki na wengine wawili kupata majeraha kwenye visa viwili vya ajali huko Machakos

  • | KBC Video
    31 views

    Watu wawili walifariki na wengine wawili wakapata majeraha mabaya kwenye visa viwili vya ajali huko Machakos mjini. Taarifa za polisi zinasema kwamba dereva mmoja wa Lori alifariki alipokuwa ameandamwa na wahudumu wa boda boda mjini humo baada ya kudaiwa kumgonga mtu mmoja aliyekuwa akitembea kwa maguu, na kusababisha ajali nyingine.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ajali #News #machakos