Watu wawili wajeruhiwa na genge la wanachama wa eneo la Likoni, county ya Mombasa

  • | NTV Video
    Watu wawili wamelazwa hospitalini Mombasa baada ya kukatwakatwa kwa panga huko Likoni kaunti ya Mombasa. Unyama huo unadaiwa kutendwa na vijana wa genge la wanachama wao. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya