Watu wawili wakamatwa kwa kuuza vitabu ghushi

  • | Citizen TV
    323 views

    Watu wawili wamematwa katika operesheni ya kuwasaka wanaouza vitabu ghushi jijini nairobi. Operesheni hiyo iliyofanya na polisi wakishirikiana na wachapishaji vitabu ilisababishwa na malalamishi kutoka kwa wazazi na wadau wengine