Watu wawili waliokolewa ila mmoja akafariki muda mfupi baadaye kwenye mgodi wa dhahabu Siaya

  • | Citizen TV
    Watu wawili waliokolewa ila mmoja akafariki muda mfupi baadaye Mgodi wa dhahabu uliporomoka juzi huko Bondo Siaya Juhudi za kuwasaka watu wengine sita zinaendelea