Watu wawili wameaga dunia kwenye ajali ya barabarani Mwingi

  • | Citizen TV
    2,366 views

    Watu wawili wameaga dunia kwenye ajali ya barabarani Mwingi Watu wengine 6 wanaendelea kupata matibabu kwenye hospitali ya Mwingi

    Dereva wa gari hilo alikuwa akienda kwa kasi mno gari likabingiria #Sema2022