18 Mar 2026 1:09 pm | Citizen TV 893 views Duration: 2:01 Watu wawili wamefariki dunia baada ya trela la kampuni ya saruji ya Cemtec Sebit kupoteza mwelekeo na kugonga duka la jumla katika eneo la California, Makutano mjini Kapenguria.