Watu wawili wamefariki kwenye ajali Gitaru

  • | Citizen TV
    1,150 views

    Watu wawili wamefariki huku wengine kumi wakipata majeraha mabaya na wengine 40 wakipata majeraha madogo kwenye ajali ya barabarani katika eneo la Gitaru, Kabete kaunti ya Kiambu.