Watu wawili wamefariki wengine wakijeruhiwa vibaya kwa ajali mbaya Mundika Busia

  • | West TV
    323 views
    Watu wawili wameaga dunia huku wengine wanane wakikimbizwa kupokea matibabu ya dharura katika hospitali ya rufaa ya Busia baada ya basi la kampuni ya Tahmeed kugongana ana kwa ana na trela la mafuta katika eneo la Mundika kwenye barabara kuu ya Busia-Kisumu kabla ya magari yote mawili kushika moto