Watu wawili wamefikishwa mahakama ya Malindi na kushtakiwa kwa kupokea pesa kwa udanganyifu

  • | Citizen TV
    122 views

    Watu wawili wamefikishwa katika mahakama ya Malindi, kaunti ya Kilifi na kushtakiwa na makosa ya kupokea pesa Kwa njia ya udanganyifu, kuingia katika kipande Cha ardhi bila idhini kinyume na sheria kuvuruga amani.