Watu wawili wamethibitishwa kufariki kufuatia ajali ya barabarani jana usiku

  • | KBC Video
    95 views

    Watu wawili wamethibitishwa kuaga dunia kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea jana usiku.Ajali hiyo iliyotokea kwenye barabara kuu ya Nairobi -Nakuru ilihusisha trela na pickup. Dereva wa trela hiyo alifariki papo hapo wakati trela hiyo iliposhika moto.Dereva mwanamke wa pickup hiyo iliyokuwa ikisafirisha rangi aliaga dunia akitibiwa katika hospitali kuu ya kaunti ndogo ya Naivasha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News