Watu wawili wapatikana wameuawa maeneo ya Birongo kaunti ya Kisii

  • | Citizen TV
    1,405 views

    Wakazi wa kijiji cha Riabuti maeneo ya Birongo kaunti ya Kisii wameshangazwa na kisa ambapo watu wawili walipatikana wameuawa na mwili wao kutupwa kando ya barabara. Wawili hao walipatikana wamefungwa miguu na mikono kwa kamba na kupigwa kichwani na kifaa butu.