Watu wawili wapoteza maisha yao baada ya kusombwa na mafuriko

  • | Citizen TV
    1,556 views

    Watu Wawili Wamepoteza Maisha Yao Baada Ya Kusombwa Na Mafuriko Usiku Wa Kuamkia Leo. Katika Kaunti Ya Mombasa Mmoja Wa Waathiriwa Alifariki Baada Ya Nyumba Yake Kusombwa Na Mafuriko Huku Mwathiriwa Mwingine Akibebwa Na Maji Katika Eneo La Igembe Kaunti Ya Meru Alipokuwa Akielekea Nyumbani