Skip to main content
Skip to main content

Watu wawili wasimulia walivyokosa nafasi kusafiri na mbunge Johanna Ng'eno wakati wa ajali

  • | Citizen TV
    946 views
    Duration: 2:48
    Alikosa kuabiri ndege iliyokuwa imewabeba watu sita waliofariki kwenye ajali ya ndege ya Nandi baada ya kuchelewa kufika. G.K Kechwa alitarajiwa kusafiri ila akaachwa baada ya pikipiki iliyokuwa ikimpeleka kwenye angatua kupata hitilafu.