Watu wawili wathibitishwa kufariki kufuatia mlipuko wa maradhi ya kipindupindu kaunti ya Kisumu

  • | Citizen TV
    254 views

    Watu wawili wamethibitishwa kufariki huku saba wakilazwa hospitalini kufuatia mlipuko wa maradhi ya kipindupindu kaunti ya Kisumu.