Watu wawili wauawa katika mauaji tatanishi Kimumu

  • | Citizen TV
    1,836 views

    Biwi la simanzi limetanda katika kijiji cha Gizani mtaa California, Kimumu kaunti ya Uasin Gishu baada ya mwanafunzi aliekuwa anatarajiwa kuenda Finland kwa masomo zaidi kuuwawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo.