- 612 viewsDuration: 2:20Hali ya taharuki imetanda katika eneo la Kainuk mpakani mwa kaunti ya Pokot magharibi na Turkana baada ya watu wanaoaminika kuwa wezi wa mifugo kuvamia watu waliokuwa wakizoa mchanga katika mto Malimalite na kuwauwa watu wawili kwa kuwapiga risasi.