Skip to main content
Skip to main content

Watu wawili wauawa kwa risasi wakati wa maandamano Macalder, Migori

  • | Citizen TV
    2,111 views
    Duration: 2:52
    Watu wawili wamedaiwa kupigwa risasi na kuuawa na maafisa wa polisi huko Macalder, kaunti ya Migori. Imeripotiwa waliouawa walikuwa wakiandamana kulalamikia ongezeko la visa vya uhalifu katika eneo hilo. Aidha, waandamanaji walisababisha uharibifu mkubwa wa mali katika kituo hicho. Katika vurugu hizo, polisi walitumia nguvu kukabiliana na waandamanaji na kuwaua wawili hao.