Watu wawili wauwawa huku wengine wawili wakijeruhiwa kaunti ya Migori

  • | Citizen TV
    332 views

    Wenyeji na wafanyibiashara katika kaunti ndogo ya Ntimaru wanaishi kwa wasiwasi na hofu baada ya watu wanne kupigwa risasi na wawili kati yao kupoteza maisha yao baada ya kuvamiwa katika eneo hilo.