Watu wawili wauwawa kwa kupigwa risasi Chepchoina

  • | Citizen TV
    1,829 views

    Watu wawili wameuwawa na mmoja kujeruhiwa kwa kupigwa risasi kufuatia ghasia zilizochochewa na mtafaruku wa ardhi eneo la Kambiwaya huko Chepchoina, Trans Nzoia. maafisa wa usalama walikabiliana na wanakijiji waliokuwa wakiwazuia maafisa wa shamba la ADC kupanda.