Watu wawili wauwawa na kumi wakijeruhiwa Lamu

  • | Citizen TV
    5,127 views

    Watu wawili wamefariki huku wengine kumi wakijeruhiwa katika shambulizi linalodaiwa kutekelezwa na wapiganaji wa Al Shabaab katika kaunti ya lamu. Akithibitisha kisa hicho waziri wa usalama Prof. Kithure Kindiki alisema mmoja alifariki wakati wa shambulizi hilo mwingine aliaga dunia alipokuwa anatibiwa hospitalini