Watu wawili wenye dalili za kipindupindu wapelekwa hospitalini Migori

  • | Citizen TV
    103 views

    Hofu imetanda baina ya wakaazi wa mji wa Migori baada ya watu wawili kukimbizwa katika hospitali ya rifaa mjini Migori baada ya kuonyesha dalili za kipindupindu.