Watu wawili zaidi walioshukiwa kuhusika na wezi wa mifugo wameuwawa huko Baringo

  • | Citizen TV
    2,865 views

    Watu wawili wanaoshukiwa kuwa wezi wa mifugo waliuawa siku ya Jumanne baada ya kutekeleza mashambulizi katika eneo la Longerer kaunti ya Baringo. Wawili hao walikuwa miongoni mwa wavamizi walioshambulia wakaazi usiku wa kuamkia Jumatatu, na kuiba idadi isiyojulikana ya mifugo.