Watu wenye ujuzi lakini hawana vyeti sasa watapewa vyeti kaunti ya Siaya

  • | Citizen TV
    127 views

    Muungano wa Siaya Strategic Assembly, SSA, umeanzisha mchakato wa kuwapa vyeti wakazi wenye ujuzi kama wa juakali katika kaunti hiyo.