Watu zaidi ya 10 wajeruhiwa kwenye maandamano Kajiado

  • | Citizen TV
    461 views

    Watu zaidi ya 10 walipata majera mbalimbali yakiwemo ya kupigwa risasi kwenye maandamano ambayo yalisabisha shuguli zote kukwama kwenye mji wa Kitengela kaunti ya Kajiado pamoja na eneo la Mlolongo hapo jana.