Skip to main content
Skip to main content

Watu zaidi ya 15 wafukiwa na vifusi vya mgodi wa dhahabu Pokoto Magharibi

  • | Citizen TV
    130 views
    Hofu imetanda katika eneo la Ramos, Pokot Kaskazini, kaunti ya Pokot Magharibi baada ya watu zaidi ya 15 kufukiwa na vifusi vya mgodi wa dhahabu ulioporomoka walipokuwa wakichimba. Shirika la Msalaba Mwekundu kwa ushirikiano na wakazi pamoja na maafisa wa usalama linaendelea na shughuli za uokoaji huku idadi kamili ya waliofukiwa na vifusi bado haijabainika. Na kama anavyotuarifu Collins Shitiabayi watu 12 wamejeruhiwa na wanapokea matibabu