Watu zaidi ya 20 wakiwemo watoto watatu wafariki

  • | Citizen TV
    Watu zaidi ya 20 wakiwemo watoto watatu wafariki Basi latumbukia mtoni Enziu huko Mwingi kaunti ya Kitui Kikosi cha KDF chasaidia kuopoa miili iliyonasa kwenye basi Watu 10 waokolewa na wakazi kutoka ndani ya basi hilo Waathiriwa ni wanakwaya wa St. Cecilia Mwingi, Kitui