Watu zaidi ya 5,000 wameathirika na mihadarati Lamu

  • | Citizen TV
    465 views

    Watu zaidi ya 5000 wameathirika na dawa za kulevya kama vile heroine, bangi, pombe, na miraa katika kaunti ya Lamu. Madhara haya yamesababisha watu elfu sita kuugua magonjwa ya akili, pamoja na msongo wa mawazo, hali ambayo imesababisha kuongezeka kwa visa vya uhalifu katika kaunti hiyo.