Watuhumiwa watatu wanaokabiliwa na mashtaka ya kumuua MP Charles Ong’ondo Were wakana mashtaka hayo

  • | NTV Video
    1,401 views

    Watuhumiwa watatu wanaokabiliwa na mashtaka ya kumuua Mbunge wa Kasipul, Charles Ong’ondo Were, wamekana mashtaka hayo na wataendelea kuzuiliwa kwa siku 30 wakisubiri maelekezo zaidi ya mahakama.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya