Wauguzi Kenyatta wamtunza mtoto miezi 7

  • | Citizen TV
    959 views

    Mtazamaji, hebu tafakari, mama anatembelea hospitali kwa matumaini na matarajio ya kujifungua salama salmini, ila kwa bahati mbaya anapoteza maisha yake wakati wa kujifungua. Mtoto wake mchanga anaishi na kwa muda wa miezi saba hospitalini huku wauguzi wakitafuta familia yake na baadaye wanamuunganisha nao. Ben kirui anaangazia juhudi za wauguzi kumtunza mtoto huyo hospitalini kenyatta