Skip to main content
Skip to main content

Wauguzi Migori wanashinikiza maslahi yao kuzingatiwa

  • | Citizen TV
    27 views
    Muungano ya wauguzi tawi la Migori unasisitiza kuzingatiwa kwa maslahi yao. Wauguzi hao wanadai kutelekezwa na idara za afya za serikali za kaunti na Serikali kuu.Wauguzi hao walieleza kuwa wanapitia changamoto si haba wanapotoa huduma za afya kwani hawana bima thabiti ya afya.Wauguzi hao pia waliomba kuajiriwa Kwa wauguzi zaidi ili kuimarisha huduma