Skip to main content
Skip to main content

Wauguzi pamoja na na matabibu katika kaunti ya Nyamira washauriwa kusitisha mgomo wao

  • | Citizen TV
    279 views
    Duration: 1:28
    Wauguzi pamoja na na matabibu katika kaunti ya Nyamira washauriwa kusitisha mgomo wao mara moja na kurejea kazini, baada ya serikali ya kaunti hiyo kwa ushirikiano na kaunti nyingine zote nchini kuelekea mahakamani na kupata agizo la kushinikiza kusitishwa kwa mgomo huo.