Wauguzi wa kaunti ya Machakos wameaza mgomo rasmi

  • | Citizen TV
    59 views

    Wagonjwa wanaotafuta huduma za matibabu katika kaunti ya Machakos sasa wataabika zaidi, baada ya wauguzi katika kaunti hiyo kuanza rasmi mgomo wao usiku wa kuamkia leo