19 Aug 2025 1:23 pm | Citizen TV 87 views Duration: 1:45 Huduma za afya katika vituo mbalimbali vya afya kaunti ya Migori zimetatizika huku mgomo wa wauguzi ukiingia siku ya tisa hii leo