wauguzi waamua kurudi kazini kaunti ya siaya

  • | Citizen TV
    40 views

    Nao wauguzi kaunti ya Siaya wamesitisha mgomo wao kwa siku Thelathini ili kuipa kaunti hiyo muda wa kushughulikia malalamishi yao