Skip to main content
Skip to main content

Wauguzi wakataa kurejea kazini licha ya agizo la mahakama

  • | Citizen TV
    266 views
    Duration: 1:21
    Viongozi wa kitaifa wa Muungano wa Wauguzi umepuuzilia mbali wito wa kurejea kazini kufuatia agizo la makahakama wakisisitiza kuwa watarejea kazini punde tu matakwa yao yatakaposikizwa. wauguzi wanafanya maandamano jijini nairobi wakishinikiza utekelezaji wa Mkataba wa maelewano, kupandishwa vyeo kazini na uajiri wa kudumu wa wafanyikazi wa Mpango wa Afya kwa Wote (UHC). mgomo huo umeadhiri huduma za afya nchini huku wagonjwa wakikosa huduma za afya katika hospitali mbalimbali.