Wauguzi wameapa kuendelea na mgomo wao wa kitaifa hadi pale matakwa yao yatakaposhughulikiwa

  • | KBC Video
    Wauguzi wameapa kuendelea na mgomo wao wa kitaifa hadi pale matakwa yao yatakaposhughulikiwa.Kupitia chama chao,wauguzi wamesema sharti kuwe na mwafaka wa kitaifa wa kurejea kazini ,na wametisha kuandamana kuanzia siku ya jumatatu kushinikiza baraza la magavana kuwasikiza. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive