Wauguzi wanagenzi walalamika kukosa nafasi ya kufanya kazi nyanjani

  • | Citizen TV
    10 views

    Baadhi ya wanafunzi wanaolalamika walihitimu mwaka wa 2019 na 2020. Wanailaumu wizara ya afya na baraza la uuguzi nchini kwa ubaguzi, wakidai kuwa wamepuuzwa licha ya kuwa na utaalamu unaohitajika. Wanafunzi walioathirika wameapa kuendelea kushinikiza uwazi na uwajibikaji. Wanagenzi hao wanahitajika kufanya kazi nyanjani ili wapate leseni za kuhudumu