Wauguzi wasema wanafanya mazungumzo na serikali

  • | Citizen TV
    165 views

    Chama cha wauguzi nchini sasa kinasema kuwa hakitashiriki mgomo wa wahudumu wa afya ambao unafanywa na madaktari, maafisa wa kliniki na maafisa wa huduma za maabara.