Wauguzi washauri serikali kuongeza mgao wa fedha katika sekta ya afya

  • | West TV
    7 views
    Muungano wa wauguzi wa (Kenya Progressive Nurses Association) unaitaka serikali ya kitaifa na ile ya kaunti kutenga mgao zaidi kwa sekta ya afya kukabili changamoto ya miundo msingi, upungufu wa wahudumu wa afya miongoni mwa mengine katika jitihada za kuhakikisha kuwa huduma za afya zinawafikia wakenya wote kwa usawa.