14 Oct 2025 1:32 pm | Citizen TV 0 views Wauguzi katika Kaunti ya Isiolo wametia saini mkataba wa kurejea kazini na kukomesha mgomo wa miezi miwili uliokuwa umesambaratisha huduma za afya katika hospitali zote za umma za kaunti hiyo.