Wauguzi watishia kujiunga na mgomo wa madaktari

  • | Citizen TV
    512 views

    Katibu mkuu wa muungano wa wauguzi nchini Seth Panyako amesema kuwa huenda wauguzi nchini pia wakajiunga na wahudumu wengine wa afya katika mgomo wao ambao unaingia mwezi wa pili iwapo serikali haitaumaliza mgomo huo. Panyako ameyasema hayo katika kaunti ya busia alipoawaongoza wauguzi katika kaunti hiyo kuanza mgomo wao wa kulalamikia malimbikizi ya mishara yao ya zaidi ya shilingi milioni 94.