Wauguzi watoa hamasa kwa wanawake wajawazito Migori

  • | Citizen TV
    203 views

    Idara ya afya ya kaunti ya Migori imeshirikiana na vituo vya afya vya kibinafsi kutoa hamasa Kwa wanawake wajawazito Kwa Nia ya kupunguza visa vya vifo vya kina mama na watoto wachanga.