Waumini wa dini ya Kiislamu waadhimisha eid-ul-fitr,Vihiga.

  • | West TV
    18 views
    Waumini wa dini ya kiislamu kaunti ya Vihiga wamesherehekea kukamilika kwa mwezi mtukufu wa ramadhan, viongozi wa kiismalu wakiendelea kushinikiza kujiuzulu kwa mawaziri wasiomakinikia majukumu yao katika serikali na kutaka suluhu la haraka la mgomo wa madaktari unaoendelea