Waumini wa Kanisa Katoliki ulimwenguni waadhimisha Jumatano ya Majivu

  • | KBC Video
    74 views

    Waumini wa kanisa katoliki kote nchini waliadhimisha jumatano ya majivu inayoashiria mwanzo wa siku 40 za kwaresima. Katika kanisa la la Holy Family Basilica jijini Nairobi, askofu mkuu wa dayosisi ya Nairobi ya kanisa Katoliki, Philip Anyolo alitoa wito kwa wakristo kutumia kipindi hiki kuimarisha uhusiano wao na mwenyezi Mungu kwa kujinyima, kuomba na kuwasaidia watu wasiobahatika katika jamii. Jumatano ya majivu mwaka huu imeshabihiana na siku ya Wapendanao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive